BILL GATES. MFANYABIASHARA NGULI. |
Yes we can.
Katika maisha ya kila siku kutumia neno ndio inawezeka, hujenga na
kuimarisha fikra za mtu kwa ujumla, kutokukata tamaa kunachochoe kwa kiasi
kikubwa kwa mtu au watu kuwa na mazoea ya kuboresha mawazo yao mara kwa mara
kwa kujaribu kuyafanyia kazi hata kama wakikosea haimaanishi kwamba ndo mwisha
wa kuyafanyia kazi mawazo yao bali umeanguka leo usikate tamaa amini kwamba
unaweza, simama fanya tena leo ndo siku yako ya mafanikio, kumbuka pale unapotaka
kukata tama ndo mafanikio yako yapo karibu, fanya fanya fanya usikate tamaa
kama Mo angekata tamaa asingefika hapa alipo napenda kusema ata maandiko
matakatifu yanatuonesha kwamba kukata tamaa ni dhambi, iaminishe nafsi yako
kuwa kukata tamaa ni dhambi kila ukiamka isemee nafsi yako kukata tamaa ni
dhambi, kumbuka kwamba katika maisha yetu wapo watu waliojaribu kufanya jambo
Fulani haijalishi kama walifanikiwa au hawakufanikiwa iambie nafsi yako hao ni
wao mimi nataka kufanya sasa , vijana wengi wamekua wakataji tamaa wakubwa kwa
kuangalia watu walioshindwa ni kosa kubwa sana hilo hiyo sio sababu fanya wewe
leo hakika utafanikiwa. Napenda sana kutumia nukuu ya mkurugenzi mtendaji wa clouds Rughe Mtahaba inayosema kuwa “msimamo
wa kweli ni ule ulio weka leo bila kujali lolote litakalo tokea kesho”.
toa maoni yako katika hili.
ReplyDelete